Nataka kuvunja uchumba, naomba ushauri

Nataka kuvunja uchumba, naomba ushauri

Usivunje uhusiano, hakuna binadamu aliyekamilika. Tafuta namna nzuri ya kudeal na udhaifu wake.
 
Apparently, the different levels of your degrees, increase the degree of your insecurities. It's all in your state of mind my brotha. Overcome that, insteada letting it come over you.
 
Pole hebu kaa nae chini umueleze yanayo kukera na umsikilize..Sijaona kosa la kufanya umuache..hakuna mwanamke aliye kamilika hapa duniani..kuna wenye matatizo zaidi ya hilo!

Nakushauri uongee nae kwanza! Sema nae..
 
La msingi na la sekondari hakikisha unamchapa nao kwanza, then hayo mengine yatafuata...
 
Kama ameshindwa kujiheshimu wakati wa kampeni atajiheshimu akishapata jimbo? Tafakari chukua hatua....pia usisahau akili za kupewa changanya na za kwako
 
Miaka yote hiyo umeishi nae na hako katabia kametokea hivi karibuni, maamuz ya kuvunja uchumba pasipo kutafuta suluhisho kwanza ni ujinga.... ongea nae, funguka kila kitu then msikilize, ku act uanamume sio kuvunja uhusiano, au labda hauna love kwake tena...
 
Mkuu markbusega tatizo lako ni dogo sana na sioni sababu ya wewe kufikia uamuzi wa kuachana naye kwa kitu kidogo kama hicho. Binafsi nakushauri umkalishe na uzungumze naye jinsi unavyokerwa na hiyo tabia yake na umueleze vile ambavyo unapenda awe kwa upole na upendo. Nina uhakika ukifanya hivyo, kama kweli anakupenda atakusikiliza na atabadilika.
 
Hujui uandishi wa habari ni taaluma na husomewa na si kila mtu anaweza lakini hope umeelewa na samahani kwa kukuchosha

kwani mkuu 'mziki wa PCB' na wa chuo haukukufundisha kuwa concise?...
...how is she depriving you of your 'manhood?'..,kwa yeye tu kupenda kusikilizwa na kuamua mambo kinyume na makubaliano?...hakuna hata mfano mzito wa kutufikirisha tuone kama ni sababu nzito ya kuvunja mahusiano na uchumba wa miaka takribani 5!
 
Sawa mkuu kwa vile uwezo huu ndio unanifanya niendeshe maisha yangu mpaka namshukuru Mungu. Hata hivyo hatuwez kuwa wote sawa

mkuu mbona wanijibu mie tu wakati kuna hoja kibao zinatolewa humu?....niruhusu niulize...ilikuwaje initial attraction ikawa purely physical ilhali 'mchumba' ulikuwa nae class/school moja kwa miaka minne?...hukutilia maanani tabia zake kipindi hicho ama alikuwa halipi?
....na alikutrap kivipi wakati wewe ndo ulifanya the first move?
 
Back
Top Bottom