Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Ina maana mtoa mada amesoma chuo kabisa akafaulu? Nina wasiwasi na elimu yetu ya siku hizi.!
 
hivi vyuo vyetu vya siku hizi sijuiii....kukuSARIT ndo kitu gani... ,,,,????
 
Wewe level yako bado ni ya kurukaruka tu....hata maelezo yako yanajieleza vizuri.
Endelea kujirusha tu ndugu mpaka pale akili itapotulia yenyewe na kusema basi.
 
Wewe level yako bado ni ya kurukaruka tu....hata maelezo yako yanajieleza vizuri.
Endelea kujirusha tu ndugu mpaka pale akili itapotulia yenyewe na kusema basi.

Kwakweli,ht mi nimeliona hilo+uandishi, cjui alikuwa na haraka ya nn
 
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu ,akamua kumrudia mpenz wake wakwanza nikambembeleza akakataa niakaenda chuo yeye akaenda kusoma nursing tukawa tume poteana kwa mda wamwaka 1 aliko enda kusoma akahama kwa bahati nzuri akahamia mkoa nao soma mimi alikuwa hajui kama mimi nasoma huko,siku ya siku tukaonana ,akashindwa kujizuia tuka salimiana basi tuka anza stori kwakuwa nilikuwa nampenda ,nikamtongoza mara ya pili akakubari,na nika muahid kumuoa,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,

kaka piga chin uyo nesi,HAKUPENDI KABISA,km anakupenda kona nying za nn?!au kakuroga nn kaka!mbna huhtaji mtaalam kukuambia kuwa huyo nes hakupendi!
 
Tulia usikurupuke.....

sina haraka ila anaye ni harakisha ni nurse mara aniambie kwao alisha wambia anamchumba kwahiyo muda unazid kwenda,so nashindwa ni nimweleze nni!
 
Ina maana mtoa mada amesoma chuo kabisa akafaulu? Nina wasiwasi na elimu yetu ya siku hizi.!

HATA VETA NI CHUO,wala haya simazoea ya (PAV LOV)kinacho mata ni saikolojia tu
 
you cant be serious, yaani alikuzingua na bado unafikiria kumrudia??alivyopata kazi wewe unasoma ilikuwaje ana shida ya kuolewa hana lolote.
 
Kwa nesi sikushauri, utaumia kaka. Tena afadhali huyo alishaanza makeke mapema ila wewe ukawa unalazmisha.
Mimi mwenyewe nilikua na nesi mmoja yalionikuta najua mwenyewe.
 
Tusiwalaumu wa bunge,ebu chukulia wana jf tungekuwa tuna kutana mjengon ,nazan ngumi zingekuwa zisha pigwa muda mrefu,,,,,,maana kunawatu wanajua watu tuko katika ,,,,joke,,,mtu akija hapa ujue maji ya mefika shingon japo sikwa wote,,, wengine siwa shauri bari ni wahahaki basi wakihakiki wawe wana tuandikia upya,na kutuletea TAHAKIKI,,,ZAO,,,ganda lamuwa la jana chugu kaona kivuno,
 
Maisha ya ujana bhana, sticky kwa huyo uliye na mapenzi ya kweli toka moyoni otherwise utajikuta na majonzi kila iitwapo leo.
 
huja wahi kusoma mashairi,japo hili sio shairi ,lugha katishi huijui,

(huja wahi) -ni neno moja -hujawahi
hakuna "lugha katishi" kwenye kiswahili ama huo "ushairi"
-"kuSARIT" hata kama ungeamua kukatisha ungeandika kuSALIT , kwa kuwa neno sahihi ni "Kusaliti" na sio "kusariti"
 
Ina maana mtoa mada amesoma chuo kabisa akafaulu? Nina wasiwasi na elimu yetu ya siku hizi.!

kashamaliza na kazi ameshaanza mkuu GKM,.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom