Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

naona bwa mdogo suala la kuoa unalifananisha na kuchagua maembe gengeni kwa Mangi!!
..we mwache adunde dunde.....akishaoa ndo atajua hawa wabeijing wasivyotaka masikhara... tena na jinsi asivyo na msimamo.......
 
sina haraka ila anaye ni harakisha ni nurse mara aniambie kwao alisha wambia anamchumba kwahiyo muda unazid kwenda,so nashindwa ni nimweleze nni!

This reply imenionesha kidogo bado hujakuwa hebu jaribu kufanya mambo ya msingi kwanza afu ndoa na mahimizo kutoka kwa nesi yatakuja badae ukiwa matured enough sawaeeeeee?
 
yaani upo form three unaahidi ndoa???? we zuga zuga nao wote si ajabu ukifikia umri wa kuoa ukabadili mawazo.
 
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu ,akamua kumrudia mpenz wake wakwanza nikambembeleza akakataa niakaenda chuo yeye akaenda kusoma nursing tukawa tume poteana kwa mda wamwaka 1 aliko enda kusoma akahama kwa bahati nzuri akahamia mkoa nao soma mimi alikuwa hajui kama mimi nasoma huko,siku ya siku tukaonana ,akashindwa kujizuia tuka salimiana basi tuka anza stori kwakuwa nilikuwa nampenda ,nikamtongoza mara ya pili akakubari,na nika muahid kumuoa,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,
mkuu samahani..kwanini unaweka R kwenye L?
Pili huyo nesi ni nesi anautumia unesi wake kukutibu wazimu wako wa kimsimamo katika mapenzi,
dating sio ndoa.
:target:
 
we jamaa kweli mbulula na huna msimamo katika maisha yako na kwanin uchezee ovyo hisia za watu,kaz kwako sasa
 
Leo ndio nimepata jibu kwanini ndoa za vijana wa kisasa zinavunjikaga kabla hata Probation period haijaisha! Kwa ufupi wewe muda wa kuoa bado, akili yako bado haina uwezo wa kukaa na mwanamke, subiri ukue kwanza!
 
Achana na iyo mambo bado akili yako aijakaa kiuoji ndio maana ujui uchague yupi..
 
Ama kwel kaz ipo unachezea hisia za watu hvo hebu 2lia kwanza ufanye maamuzi sahih na ucrudie kucheza na hisia za watu
 
Back
Top Bottom