Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

Kisima changu nimechimba chini kina uwezo wa kubeba lita laki moja ambapo nilipiga hesabu kila siku niwe natumia ndoo 13 kwa siku kwa mwaka mzima ndo maji yaishe kama likijaa.!
Hadi saiz mvua zote zilizonyesha Dar toka january hadi sasa halijajaa bado.!
 
Kwa sisi tunaojenga sehemu ambazo bado majisafi hayajafika ni muhimu kuitumia hii njia,ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom