Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

Clouds FM ilituhumiwa sana na inaendelea kutuhumiwa kuwanyonya wanamuziki kwa namna mbali mbali,

Lakin ukiangalia jinsi clouds FM walivyo pangilia vipindi vyao wana mashabiki na wadau wa rika mbali mbali kulingana na kipindi ,

Hii husababishwa na aina ya watangazaji na waajiriwa wa radio na TV hiyo kuwa na weledi katika vipindi vyao,

1.LEO TENA
Hapa kipindi hiki kimeendeshwa kwa umakini mkubwa na watangazaji, ambao uwapasha watanzania habari zivutiazo kwenye kipindi kwa njia mbali mbali , habari za kila kukicha na uwasilishaji wake ni tofauti sana,

2.AMPLIFIER YA MILLARD AYO
Hii inadhaminiwa au bado iko chini ya clouds ,aina ya report habari za MILLARD ina wafuasi wake pia,

3. XXL (EXTRA EXTRA LARGE)
Hapa utakutana na watu kama Fetty,
Adam mchomvu
B dozen na wengine
Hawa pia kipindi chao uleta mvuto kwa wasikilizaji wake na kufanya kuwa na shahuku ya muda wa kipindi kufika wasikilize,

4. SPORTS EXTRA
Wapenda soka wengi walianza kuvutiwa kipindi hiki kila ufikapo muda wa saa tatu usiku,
Hapa ndo utapata habari za michezo kwa undani, za ndani na nje ya nchi,

Utakutana na watu kama
Edga kibwana
Shaffy Dauda
Ally mayai mchambuzi ualikwa kuchambua

Wachambuzi hawa ni wajuzi sana wa mambo ya soka na uchambuzi wake kwa ujumla,
Hivo kipindi hiki kina wadau wake, hata wazee rika zote wanasikiliza, siyo watoto tu wala vijana tu,

5.JAHAZI
Hapa utakutana na Efraim Kibonde,
Captain G habashi,

6.SHILAWADU
hawa wamejivunia watu kibao na wamefanya section hii ifuatiliwe sana maana watanzania wengi wamejikita katika umbea, wanakipenda sana kipindi hiki,

SEHEMU PEKEE AMBAYO WCB WANAWEZA LETA USHINDANI NI KWENYE MATAMASHA TU
Lakin so kwenye programs nyingine kama walivyo clouds,

Zimeanza radio Nyingi kushindana na Clouds lakin kuna sehem wanakwama
Mfano E FM na nyingine nyingi,

KWANINI SO RAHIS KUISHUSHA CLOUDS
1.Channel ambayo imeshajenga na watanzania ni kubwa sana,

2.Pili inaongozwa na watu wajanja wenye exposure wanajua wafanye nini na wafanye wapi au wanaweza kumleta nani ambaye atanogesha matamasha

3. Timu za diamond na Ali Kiba naziona kwa mbali zinaanza kuwaandama washindani wanaokuja yaan WCB

4.WCB wanakosea kulewa sifa mapema, wamejitangaza moja kwa moja kwamba wana mashindano na mtu fulani badala wangefanya programs zao kwa umakini kimya kimya bila kuonesha kama wanashindana na mtu ingeleta tija, sasa wameanza kama ni vita,

5. Vijana wenye kipaji ambao bado hawawezi kujisimamia na waganga njaa bado wwapo wengi mtaani, ambao ni mtaji kwa clouds FM, ili suala linawapa kiburi sana,

6.Uongozi wa juu wa Washindani wa Clouds ni watu wasio kuwa na maono, sisemi wote ila nasema Mtu kama Babu Tale na Said Fella, mtashangaa kwanini nawataja hawa tena mtu kama fella mwana CCM wetu,

Sababu Fella hakai kwenye jambo moja kulifanikisha, kila kundi alilowahi ongoza halikudumu sana na sababu zinajulikana, hapa Diamond inabidi awe makini na watu hawa atafte menejiment safi asiwategemee sana,

NINI WCB WAFANYE ILI WADUMU?
1.Programs za radio yao ziwe attractive na zenye ubunifu
2.Wasajili upya watu wa matangazo na ku run programs watu makini na maarufu kwa gharama yeyote maana hela wanayo

3.Waondoe mtazamo wa kuonekana wanashindana na mtu fulani, wafanye mambo yao bila kuwaza ushindani usiojenga wa wivu, bali waweza kuwa ushindani wa kuboresha lakin si ninao ona

4.Kwenye Tasnia ya muziki hasa production jaribu kuwaajiri watu wakongwe kama P funk nadhani, Lammer, MJ au nfuateni mfinish Mikka Mwamba,

Wasipofanya hayo mwaka 2025 WCB haifiki watafifia

Britannica
Ivi kuna muda unapata kusikiliza hizi radio kweli duuh!! Ni bora ucheze game vdio, aah! au mi ndio natatizo hapa allow wewe anyway kila mtu apendacho hakina hila moyoni kulizika kuwa nacho japo hakina thamani Leo nimeamini maneno ya wahenga
 
Ok
 
Back
Top Bottom