Naomba msaada wa program itakayoniwezesha kutumia simu yang kama moderm. Nakumbka kuna wakati msela wang alinpa nimeisahau ilikuwa na uwezo wa kutumia simu yoyete ile kukonect na internet. Naomba msaada wana JF nimepen maujanja simu yang n nokia
Nilikuwa natumia Nokia PC Suit lakin sasa hivi inazingua inanambia Nokia Cable driver not installed lakin nikicheki nokia cable driver iko installed so ndo maana natafuta program nyingne.