Nataka kutumia fursa...

Nataka kutumia fursa...

BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
673
Reaction score
36
Ndugu wanabodi, kulingana na utafiti nilioufanya kwa kina humu ndani nimegundua kuwa kuna wimbi kubwa la members kujihusisha na biashara ya kugegedana (me na ke)....

Sasa basi kwakuwa Kinga ni bora kuliko Tiba nimeona sio vibaya kutumia fursa hii kuwatangazia kuwa nauza Condoms za kisasa za aina zote zenye ubora wa hali ya juu......

Wote mnakaribishwa...!

Contact: Pm
 
Na wewe tafuta wa kugegedana nae roho ikutulie...wivu tuuuuu!
 
Wangu mie hapendi nivae anataka avae yy lady-pepeta vip unazo?
 
acheni uzinzi ninyi wanadamu, siku zenu za kuishi wala si nyingi...
 
Mmmmh .......hiyo research umeifanyia wapi
 
heheeee.. necessity is the mother of invention
 
Back
Top Bottom