Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kumbuka mtoa mada ameweka limit ya miezi sita (6)mfano tu,umenunua madela 20,000,
kwa bei ya kununulia tsh 10,000=
utatumia milioni 200,
utauza kwa 15000 kwa watu elfu 20,
utapata faida ya milion 100,
hapa yataka atleas utafute kitu utakachonunua kwa wholesale price ya tsh 5000 na uje kuuza kwa tsh 10,000,
Ni biashara ya vifaa vya ujenzi/mbao au spares za magari ndio zina faida Kama hizo na mtaji wake uwe na angalau milioni 50 na sio maneno matupu.impossible,unaongelea faida ya dola kumi ambayo ni sawa na karibu elfu 25,
itahitaji mtaji mkubwa mno ili uweze kuzalisha hiyo faida kwa watu 5000 tu,
fanya watu elfu 20,
faida iwe tsh 5000,
Mkuu,Sana kaka but ungesema una kianzio cha Tsh ngapi na wewe una experience na kitu gani
Issue kama hizi zinawezekana... Inataka mpango, ufuatiliaji, maono, kutokata tamaa, ubunifu wa mara mara na kutengeneza msingi.Ndoto yangu ni kutengeneza usd 50,000$ ndani ya miezi sita!inaweza kuwa ni ngumu lakini inawezekana kabisa kama ukitumia Juhudi,nguvu na maarifa ya kibabe zaidi!
Ni ukweli usiopingika kwa maisha ya kibongo bongo ukipata milioni 120 unaweza ukapunguza kabisa ukali wa umaskini,mfano hapo unaweza ukawa na nyumba ya milioni 30,gari ndogo tu yakufanyia shughuli zako milioni 15,na ukabaki na milioni 85 za kuendesha biashara zako!
Sasa hapo napiga mahesabu ni kitu gani utawauzia watu 5000 ambacho utapata faida ya dola 10 kwa kila kichwa!!!!?
Ama ni huduma gani unaweza ukafanyia watu 5000 kila mmoja akakupatia kiasi cha 10usd!!?
Idadi ya watanzania ni takribani milioni 50+
Lkn watu 5000 tu wanaweza kubadilisha maisha yetu Mimi na wewe!
Watu 5000 ni sawa na kupata watu 200 kila mkoa
Mkuu nimelenga hasa kwenye mtaji wa 5000usd,ni nunue kitu kwa 1usd kila item na Mimi niuze 3usd,then nafanya hivyo hivyo kwa speed ya miezi sita hadi nitimize malengoimpossible,unaongelea faida ya dola kumi ambayo ni sawa na karibu elfu 25,
itahitaji mtaji mkubwa mno ili uweze kuzalisha hiyo faida kwa watu 5000 tu,
fanya watu elfu 20,
faida iwe tsh 5000,