Nataka kusomea Web Programming na Online Marketing, naomba ushauri

Nataka kusomea Web Programming na Online Marketing, naomba ushauri

Hapo tunaongelea watu wangapi minima na duration?
Kila kozi ina duration yake. Minima ni watu watano na gharama zitakuwa posted soon ktk mtandao. Kwa sasa siruhusiwi kusema chochote kuhusu gharama
 
Back
Top Bottom