iamallymtambo
Senior Member
- Dec 25, 2014
- 127
- 47
Habari wakuu, Nataka kusomea any object oriented language kwa ajili ya web development na pia online marketing.
Nimefanya utafiti nikakuta kuwa naweza kuifanya kwa darasani kama diploma au naweza nikajifunza online kwa kupitia internet.
Njia ipi ni bora kati ya hizi, bila ya kujali gharama