Nataka kusomea urubani

Nataka kusomea urubani

jessenmutta

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
38
Reaction score
8
Nimemaliza degree ya computer engineering Lakin moja ya ndoto zangu ni kuweza kupaisha ndege. Sasa nataka kujua kama Kuna chuo chochote cha urubani Tanzania kinachotoa walau short course za urubani ili nijiunge nacho na kuanza kusomea urubani.
 
chuo kimoja pekee cha urubani Tanzania- ukiacha mafunzo ya urubani jeshini- kipo dar es salaam, hata kama ungekuwa umemaliza form 4 na science subjects ungejiunga- waliwahi kuhojiwa TBC TAIFA- wacheki wataweza kukuelekeza!
 
Kaka kwa Tz hamna chuo cha maana..km unataka ufanikiwe ktk urubani na unataka ufike mbali, vyuo vizur vipo south Africa, ila andaa kama million 100 hv.. Shida ukisoma tz ni wapi utapata kaz. Tz hamna ndege za kutosha.. Pia baada ya kusoma unatakiwa upate mazoez ya kutosha na kutengeneza masaa ya kutosha.. Maana urubani sio km course zingne za chuo, wao unapata experience zaid kwa kuwa angani muda mwingi. Na kama unataka kaz nzuri ya uribani lazma uwe una masaa ya kutosha haijalish darasani ulifaulu vizuri kias gani.. Muda mwng wanaangalia ni muda kias gani umekuwa nao angani
 
Kwa tanzania utapoteza muda wako, nenda south africa..ndio wanaoongoza kwa vyuo vizuri Africa nzma.
 
Back
Top Bottom