Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
wakuu salama? Mimi ni mwana technology Sasa natamani sana kufahamu sana mambo ya mwili wa binadamu hata kama sio deeply Ila niwe na skills kadhaa za kutibu mtu yani simply nipate basic knowledge ya udaktari, Wapi naweza patiwa mafunzo haya bila kuwa awarded na cheti yani niwe trained practically more than theoritically Sihitaji cheti mana tayari Nina fani yangu tofauti na udaktari na natambulika official, Note interest yangu ni technology ndio mana sikusoma udaktari Ila naona umuhimu wa kujua vitu basic juu ya utabibu kutokana na Mishe mishe nilizonazo