ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Wanajukwaa nataka kusoma python ila material imekuwa ngumu mwenye vitabu please share with me
Wanajukwaa nataka kusoma python ila material imekuwa ngumu mwenye vitabu please share with me
Nijibu upo wapi ?Wanajukwaa nataka kusoma python ila material imekuwa ngumu mwenye vitabu please share with me
Nipo moshi mkuu Ethical Ninja CEHNijibu upo wapi ?
Dah! Ungekua Dar ingekua laisi kukusaidia....Nipo moshi mkuu Ethical Ninja CEH
Poa karibuOk mkuu ngoja nitajitahidi nextmonth kuwa dar for 3 weeks
Kama una softcopy si upload hapa??Dah! Ungekua Dar ingekua laisi kukusaidia....
Kama una softcopy si upload hapa??
Anyway, nikitulia nitakuwekea hapa! Niko na vichache vya softcopy!
Ndugu uko maeneo gani nikutafuteSina soft copy, that why nimeuliza yupo wapi...
Pia nilitaka kumpa na video za Lynda pamoja na InfiniteSkills
Ndugu uko maeneo gani nikutafute