Nataka kusoma masters ya business administration, chuo gani nitapa kwa urahisi?

Kelvin Magwila

New Member
Feb 5, 2015
2
97
Nina BA nataka nisome Masters of business administration mwakani naweza kupata chance chuo gani kwa urahisi!?
 
Msomi wa aina gani wewe unayeshindwa kutafuta website za vyuo mbalimbali hasa unavyovipenda na kuangalia admission criteria zao. Muda uliotumia kuanzisha tread humu ungeshapata majibu kutoka vyuo Zaidi ya vitano hapa nchini. Tuache uvivu watanzania jamani
 
Jamani hivi siku hizi hakuna soma la Kiswahili mashuleni au ni njaa ndio zinawasababishia watu kuwa na matamshi ya ajabu ajabu..!!
 
Karibu vyuo vingi tu vinatoa MBA mfano UDSM, IFM, hadi OUT. Hivyo vyuo nina hakika maana niliappy ila nikakwama funds. Hata mimi sijaelewa uliposema "kiurahisi". Kwenye masters hakuna cha urahisi.
By the way watanzania tuache roho mbaya, mtu kaomba ushauri mnaanza kumponda
 
Back
Top Bottom