mishie_allie
New Member
- Aug 3, 2021
- 4
- 1
HahahahaWewe kweli kichwani zimo?
Usipoteze Muda ,maisha ni connectionwadau wa elimu,
Nina swali. nataka kuacha degree nikasome diploma je inawezekana au natakiwa niende kwanza tcu kusema kama nimeacha au utaratibu upoke, msaada please.
Sema tyuuu ushadisco unakuja kutuchora hapa.... mnajifanyaga mabingwa wa kukesha club wadogo zetu[emoji23][emoji23][emoji23]wadau wa elimu,
Nina swali. nataka kuacha degree nikasome diploma je inawezekana au natakiwa niende kwanza tcu kusema kama nimeacha au utaratibu upoke, msaada please.
agronomy suaAhirisha mwaka, then nenda kapige diploma yako (nadhani itachukua miaka miwili kama utaanzia NTA level 5 &6)
then kama utaona inafaa utairudia degree yako baadae.
Ila tuambie unasoma degree ya kitu gani na unataka kusoma diploma ya kitu gani?
Haki sijadisco sema ni kilimo na sielewi nahisi kama agronomy inawafaa sana CBG kuliko mimi PCB nachanganyikiwa natumia nguvu kibao kusoma na kuelewa.Sema tyuuu ushadisco unakuja kutuchora hapa.... mnajifanyaga mabingwa wa kukesha club wadogo zetu[emoji23][emoji23][emoji23]
nasoma agronomy, first year yan tukifungua ndo naingia second! nataka nikasome nursing sasa wazee walinambia nijarib hiyo agronomy lkn hata wao wameona kama hainifai kdgSwali LA mwisho no LA msingi , unasoma degree ya nini na unataka kwenda kusoma diploma ya nn
Hapo Moro kuna Chuo cha Ardhi Morogoro, nenda kasome Dip ya Geomatics.agronomy sua
Hapo Moro kuna Chuo cha Ardhi Morogoro, nenda kasome Dip ya Geomatics.
Wewe kweli kichwani zimo?
Hapana mkuu, ni diploma ya Geomatics na URP.Hivi iko chuo cha Moro kinanotoa na degree ya Geomatics