Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16

Biology A
Chemistry A
Physics C

Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi kusomea hiyo course?

Au Kuna course gani ya diploma ni nzuri Kwa wakati huu kutokana na ufaulu niliopata?
ajira hazitabiriki mzee, soma course yoyote unayoipenda
 
Mdogo wangu unapotea,unaenda kupoteza miaka yako bure,ajira za hiyo kozi kwa sasa hakuna,vijiwe vyenyewe utalipwa hela ya nauli tu,kama unataka uhakika wa maisha piga dental,opt,radiograph,medical lab and pharm.
Asante Kwa ushaur I wako nzuri ...je Kwa ufahuru uo nikiomba pharmaceutical sciences kwenye
chuo kama muhas .cuhas. naweza nikapata nafasi!?
 
Wewe nenda kaombe hauna cha kupoteza afterall unaufaulu mzuri, ila kama unataka GPA kubwa nenda private, mengineyo akili kumkichwa
 
Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16

Biology A
Chemistry A
Physics C

Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi kusomea hiyo course?

Au Kuna course gani ya diploma ni nzuri Kwa wakati huu kutokana na ufaulu niliopata?
Bro! Ni bora usome kitu unachokipenda masuala ya ajira utajua mbele.
 
Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16

Biology A
Chemistry A
Physics C

Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi kusomea hiyo course?

Au Kuna course gani ya diploma ni nzuri Kwa wakati huu kutokana na ufaulu niliopata?
Nice move
 
Hebu zama hapo NIT uje tupige gear za magari ya DFP tuwe tunapitia Michele na mikaa road, maisha burudani, hakunaga mke na watoto wa Dereva anayelala na njaa
 
Mwisho wa siku unakuja kutukanwa na hii ID matusi ya nguoni. Ama kujibizana nayo kana kwamba unajibizana na jibabu. Watoto wa kizazi hiki kwa kweli

Ushauri:
Muombe baba yako mtaji ujiajiri, ukijikuta kichwa ngumu kama mimi, utapoteza muda tu. Mimi nina degrees 2 za Doctor of Medicine, baada ya kutumikishwa private hospital kwa miaka miwili, nikaona wacha nijiongeze mbele kwa mbele. Hiyo clinical yako utabaki nayo kwenye makaratasi
 
Degree 2 za Clinical medicine kivipi ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu unapotea,unaenda kupoteza miaka yako bure,ajira za hiyo kozi kwa sasa hakuna,vijiwe vyenyewe utalipwa hela ya nauli tu,kama unataka uhakika wa maisha piga dental,opt,radiograph,medical lab and pharm.
Kama unataka kusoma fuata huu ushauri, ila ondoa Pharmacy na Medical Lab utapoteza muda wako, nenda na hizo zingine zilizobaki hasa opthalmology, radiograph na dental
 
Mwisho wa siku unakuja kutukanwa na hii ID matusi ya nguoni. Ama kujibizana nayo kana kwamba unajibizana na jibabu. Watoto wa kizazi hiki kwa kweli

Ushauri:
Muombe baba yako mtaji ujiajiri, ukijikuta kichwa ngumu kama mimi, utapoteza muda tu. Mimi nina degrees 2 za Doctor of Medicine, baada ya kutumikishwa private hospital kwa miaka miwili, nikaona wacha nijiongeze mbele kwa mbele. Hiyo clinical yako utabaki nayo kwenye makaratasi
Ila kama unataka maisha, fuata ushauri wa mwamba hapa, tafuta tu mtaji ingia mtaani chakarika, shule haina maana saizi unless ungekua wa kike ningekushauri uka buy time shuleni ila wa kiume bora ukajipambanie kitaa ikiwa bado mapema

Naongea haya nikiwa muhanga wa Degree za Afya bila ajira mwaka wa nne huu,

Ahsante!!!
 
Back
Top Bottom