Nataka kushea mtaji na mtu mwenye biashara

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
8,859
23,119
Wakulungwa wenzangu

Baada ya hizi sikukuu za mwisho wa mwaka kupita nimefanikiwa ku-save cash kidogo.

Sasa nimekuwa nikifatilia changamoto mbali mbali za wafanyabiashara ndogo ni pamoja na kutokuwa stable kwenye mtaji.

Kwa kuanzia mimefikiria kushea mtaji na mtu mwenye biashara yoyote yenye mtaji kati ya sh laki 2 mpka milioni 1. Nitashea kiasi chochote ambapo hakitazidi ml 1 kwa kuanzia na hata nguvu kazi ikibidi kwa kipindi hiki ambapo nasubiri kuanza shughuli zangu nyingine mwezi wa tatu.

Kama upo interested nicheki pm kwa kuyajenga zaidi ikiwemo na kwa namna gani tutagawana faida. Hii ni kwa Dar, mimi nipo Kigamboni.

NB; Huu sio mkopo ni ubiya.
 
Mkuu endelea kusave mpaka upate kabiashara Kako now days watu ni hatari kuliko mnyama

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom