Mrembomimi Member Joined Sep 2, 2016 Posts 47 Reaction score 35 Dec 5, 2016 #1 Wadau naomba msaada wenu nataka kupeleka bithaa yangu (unga wa lishe) ukapate kibali TFDA je ni hatua gani natakiwa kuzifanya ili nisajiliwe?
Wadau naomba msaada wenu nataka kupeleka bithaa yangu (unga wa lishe) ukapate kibali TFDA je ni hatua gani natakiwa kuzifanya ili nisajiliwe?
Mrembomimi Member Joined Sep 2, 2016 Posts 47 Reaction score 35 Dec 5, 2016 Thread starter #2 Naomba msaada wenu,nataka kusajili unga Wa lishe TFDA je process zipoje? Naomba mwongozo
earl Senior Member Joined Aug 30, 2012 Posts 142 Reaction score 192 Dec 5, 2016 #3 Unapoenda TFDA, watakutembelea na kukagua vitu viwili muhimu; 1. Eneo ambalo unatengenezea huo unga, 2. Eneo unapofanyia packaging, na materials unazotumia kufanyia packaging. Hivyo ndo vitu vya muhimu, kutokana na ripoti ya huo ukaguzi ndio utafahamu hatua inayofuata.
Unapoenda TFDA, watakutembelea na kukagua vitu viwili muhimu; 1. Eneo ambalo unatengenezea huo unga, 2. Eneo unapofanyia packaging, na materials unazotumia kufanyia packaging. Hivyo ndo vitu vya muhimu, kutokana na ripoti ya huo ukaguzi ndio utafahamu hatua inayofuata.
Mrembomimi Member Joined Sep 2, 2016 Posts 47 Reaction score 35 Dec 5, 2016 Thread starter #4 Asante sana ndugu yangu
mareeTZ Senior Member Joined Jun 4, 2015 Posts 171 Reaction score 181 Dec 6, 2016 #5 nenda kawaone ofisini kwao then watakuja kukagua mzigi, sehemu unapozalishia na kufungashia. wakiridhishwa wanakupa kibali
nenda kawaone ofisini kwao then watakuja kukagua mzigi, sehemu unapozalishia na kufungashia. wakiridhishwa wanakupa kibali
earl Senior Member Joined Aug 30, 2012 Posts 142 Reaction score 192 Dec 6, 2016 #6 Mrembomimi said: Asante sana ndugu yangu Click to expand... Karibu ndugu
mwampepe JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 330 Reaction score 129 Dec 6, 2016 #7 1kg unauza bei gani?