Kirikou kweli umekuja kufurahisha jf, mara unatafuta bibie; mara kuna mke wa mjeda unataka kumgegeda; na saivi unarudi shule. Umetisha kama njaa, nenda huko ila u stick kwenye kitabu zaidi.