Rajabu Msechu
Member
- Apr 13, 2016
- 35
- 18
Nahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari.
Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
Tafuta Car FM TransmitterNahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari.
Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
Asante kwa muongozo mkuu,..ngoja nifanye ivyo...
mkuu habari.nami nauliza eti unaweza kuconect nyimbo zilizopo kwenye cm ukaconect kwenye deki na ikaplay kwenye tv.msaada wako