Hapo trafic polisi wanapima na mpiga debe yupo kuna hospitali iko kati kati ya ofisi ya siro na mpinga breckdown njoo sasa hivi mkuu unapimwa wewe na huyo mpenzi wako hofu itakutoka na utakula vitu kwa amani
Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
Ghalama kubwa ni jinsi ya kupokea majibu lau kama viloba visingepigwa malfuku ningalikushauri ubebe ili wakati wakusubili majibu uwe unajimiminia labda ungestahamili ktk kupokea hayo majibu maana kwa jinsi nimjuavyo huyo mpenzi wako sizani kama utanusulika na hilo
Watu wengi hupata VVU pale tu wanapohisi wameathirika na kuamua kujiachia, kumbe hawana! Nilitaka kuingia kwenye huu mtego nikajitambua mapema na kupima.
Faida ya kupima ni kuwa na uhakika na malengo yako!!