UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi JF.
Nina mke mmoja kutokana na majukumu tuliyonayo nimejadili na mke wangu niongeze mrembo kisura sana.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mpenda maendeleo.
2.Maji ya kunde.
3.Asiwe mwembamba sana.
4.Mpole
5.Awe tayari kuhudumia mifugo.
6.Kilimo
7.Hakuna binti mbaya hata ukipaka Nivea Revlon si mbaya.
8.Koni napenda sana.
9.Asiwe kiburi
10.Picha yako itanivutia nikutafute ulipo
11.Elimu la saba au form 4
12.Tutaishi wilayani Korogwe Tanga