Nataka Kuoa Nitulie, Msaada Please

Inaelekea hijajipanga wewe. Yan unataka kuoa huna hata mchumba? Miaka yote ulikua unafanya nini? Ukiambiwa uoe msukuma inamaana ukipata muhaya anaekupenda utampiga chini? Nakushauri uongeze miaka mingine 15 ya kuendelea kujipanga vema.
 
Inaelekea hijajipanga wewe. Yan unataka kuoa huna hata mchimba? Miaka yote ulikua unafanya nini? Ukiambiwa uoe msukuma inamaana ukipata muhaya anaekupenda utampiga chini? Nakushauri uongeze miaka mingine 15 ya kuendelea kujipanga vema.
He! 35+15 = 50, Huyu si atazaa wajukuu?
 

Yes! waoh! hii ndio raha yakujiunga jf binafc najhc nainjoi maisha kwakupata maujanja kama haya cyo cri kaka umeongea jambo ambalo limenijengea ki2 ndani yaakili yangu. NIMEJIFUNZA NASHUKULU KWAUSHAULI WAKO
 
Nakushauri usubiri tu usikimbile kuoa kwasababu yaumri, hongera kwa kuishi kapela kwa muda wote huo. Ndoa ni stress tu na wanawake wote wanafanana matatizo yao ndugu yangu.
 
kama ulishauliwa kuoa mke kutoka mko furani basi ulidanganywa,chamsingi nikupata mwanamke anaye kupenda kwa dhati nawe ukampenda kwa dhati hapo utakuwa umeramba dume.
 
Nakushauri usubiri tu usikimbile kuoa kwasababu yaumri, hongera kwa kuishi kapela kwa muda wote huo. Ndoa ni stress tu na wanawake wote wanafanana matatizo yao ndugu yangu.
Ingekuwa vema kama ungenishauri nisubiri kwa gani na wakati huo niwe nafanyia utafiti wangu wapi ningekuelewa vizuri zaidi mkuu.
 
Mkuu Power G njoo uoe kwetu. Sisi wakurya huwa tunawabeba wanaume mgongoni na kuwakogesha kama watoto wachanga. Nadhani hizo huduma zitakufanya utulie tuli na usiwe na mawazo ya kutoka nje.
Acha kunidanganya wewe binti nikaja kujuta bure. Huko si ndiko nasikia ugomvi ukianza ndani, baba anawahi mkuki na mama anawahi panga!!
 
Kuna mengi ya kujifunza kwa mwanadamu na maisha ya ndoa yana sheria zake, ni kama mchezo wa mpoira huwezi kuingia kucheza eti unapenda soka, ni lazima ujue sheria zote kama sikosei ni 17.NDOA NI TAMU SANA KAMA UKIBAHATIKA KUPATA NUSU YAKO AMBAYO NI YAKO KWELI NA SI LIFT YA MAISHA.KUNA WATU KE NA ME WANAOA AU KUOLEWA ILI WAPATE LIFT YA MAISHA. MFANO WENGINE WANATAKA UWE NA FUNGUO TATU,MOJA YA NUYMBA YA PILI GARI NA YA TATU NI OFISI.KAA CHONJO KIZAZI CHA DOT COM.NA KARIBUNI SANA KWA USHAURI NA maongezi ya kujengana.
 
hahaaaaa!kumbe bado kuna watu wanaoa kabila.Kazi kweli kweli.Nimecheka kama unataka kukwepa stress.Nisikufiche mkuu,kama unaishi kwenye sayari tatu, stress zipo tuu, but tunajitahidi kuzipunguza.Mbinguni tuu ndio hamna stress.hata ukiishi ndani ya bahari utapata stress za harufu ya samaki bhana.
 

100%...................................Ablessed
 
kwanza tulia ndio uoe

kama utataka kuo kwanza ndio utulie basi hapo utajikuta umebuggy..........
 
Ha ha haaa! We sema tu unataka kahawa ya aina gani - cappuccino, black & white, Americano au ile ya kwa bibi na babu yenye harufu nzuri asilia?
any...... bora tu iwe na caffeine......lol!
 
power G. UMEPOTEA. CHANGE UR ATITUDE, mke hatafutwi kwa kuangalia mkoa wala kabila......mke mwema hupatikana kwa mungu wewe..sio anapatikana kwenye mkoa fulani.............. tafuta kwa kuangalia mkoa, uibuke na kicheche,.....itakula kwako... ushaur wa haraka haraka.. mwambie mungu akupe alio wako mtakaofanana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…