Nataka kuoa mwanamke wa pili

Nataka kuoa mwanamke wa pili

Mkuu sijaona sababu kuu ya kukufanya uoe mke wa pili kwa maelezo Yako umesema:
ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa kama hana vipengele Kwanini usitulie nae tu au (you also want problem always )?

Kwa nini unataka kur-risk wife material kwa sababu ambazo hazina mashiko.

Maoni yangu:
Tuma picha au video fupi kwanza,ili tujue tujue shida ipo wapi haswa.
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk DSM nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu.

Kiukweli sikumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sijakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwama huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk. nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yani nitaoa mwingine wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Tunaona utawapenda na kuwatunza kama wake zako, tunaona pia na mwisho wako.
 
au siyo kwaiyo kila mwny wake wawili ni masikini? Kila tajiri ana mke mmoja, matajiri wa wp hao unaowasema wa ulaya au afrika? Ujue kutofautisha utamaduni wa asia, afrika, ulaya hasa linapofka swala family.
Zamani watu walioa mke zaidi ya mmoja kwa ajili ya kupata nguvu kazi. Maeneo yalikuwa ya porini, kuna mashamba, mifugo na pia ulinzi. Ili uweze kuendelea kiuchumi na kupata nguvu kazi, watu walioa mke zaidi ya mmoja ili kupata watoto wengi kwa ajili ya kufanya kazi.
Miaka hii, watu wanaoa mwanamke zaidi ya mmoja kwa ajili ya ngono (kufanya mapenzi). Kumbuka kupenda hakujawahi kuwa na mwisho ila ni kujizuia tu na kuridhika na mke mmoja.
Utakuta mtu hapo alipo amepanga, huyo mke wa pili anayeenda kumuoa atampangia (utalipa kodi kwa land lord), ameajiriwa yaani hana biashara zaidi ya kutegemea mshahara, hana gari na watoto wake wa mke wa kwanza wanasoma shule za serikali, chakula kizuri kwa mke wa kwanza wanakula siku za sikukuu tu. Hizi ni akili za kimasikini kabisa
 
sa hiyo profile ya chakula kzuri, nyumba ya kupanga ni ya nani? Kama n yng bs nenda kapge ramli tena. Khs gari kweli sina maana si kpaumbele chng zaid ya investment
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk DSM nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu.

Kiukweli sikumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sijakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwama huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk. nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yani nitaoa mwingine wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Wenzako tunafikiria kuacha wewe unataka kuongeza.
 
Uwezo wa kuwahudumia unao? Malazi ,mavazi na mijegejo?
 
Utakuwa muongo muongo, huwezi kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja alafu ukawa mkweli, lazima uwe na uongo mwingi na ka element kautapeli tapeli
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk DSM nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu.

Kiukweli sikumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sijakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwama huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk. nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yani nitaoa mwingine wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Huyo wa wapili ndio atakusumbua,utajuta
 
Ubora wa mwanamke haupimwi kwa sura,kwa maelezo yako huyo uliye naye ndo mke acha ujinga

Yaani una mwanamke bora alafu unaenda kuvuta kalumbembe nyingine?

We jichanganye unakwenda kuumia,soon utakuja na story za kutaka kujiua,nimekaa paleee
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk DSM nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu.

Kiukweli sikumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sijakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwama huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk. nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yani nitaoa mwingine wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Machangudoa wengi wa mitandaoni wana edit picha zao kutafuta wanaume mazwazwa, pole kwa kuingizwa mjini kwa ajili ya nyege.
 
Back
Top Bottom