Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,190
- 5,060
- Thread starter
- #21
sawa uzuri ww siyo MUNGU waislam wanaoa mke zaid ya mmoja wapo maisha yako poa tu, wapo wenye mke mmoja mambo ni mazto so ni sehemu ya maisha tu kuna kaka yng alikuwa na mkewe nje tulikuwa tunaona wako poa kumbe huko ndani ni aibu kuyasimulia kbs..Pole sana na pole tena na tena, hakuna rangi utaacha kuona