Umenena vyemaHivi Ni Nani aliyesema wanawake waliosoma hawaolewi?
Mbona wengi tu ndio wanaoolewa?
Jamani, kila mtu ana level yake ya maisha.
Ukiona mwanamke kasoma hajaolewa jua haoleki kutokana na tabia zake na sio kusoma kwake.
Ni sawa tu na ambao hawajasoma wako humu mitaani hawajaolewa wanapiga midomo tu na kuzaa na kila mwanaume wanayekutana naye. Nao hawaoleki sababu ya tabia zao.!!
Msifanye Kama vile wanaume tunaogopa wanawake waliosoma.
Kushindwa kwa mwanaume kutimiza majukumu ya mwanaume na kuwa kiongozi wa familia kunawafanya wengi waogope kuoa wanawake waliosoma.
Mungu alituumba tofauti nao kwa kila kitu na tunapaswa kuwaonesha hilo na sio kuwakimbia.
DuhHabari ndio hiyo View attachment 1170180
Hana tofauti na mwanaume msomi.Mwanamke msomi yukoje...?
Uamuzi mzuriIwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni.
Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi kweli kweli kama maandiko yanavyosema.
Sichukii wala sidharau wanawake ambao hawajasoma na wasiotoka familia zinazojiweza ila natafuta wa kufanana nae.
USHAURI KWA AMBAO BADO HAMJAOA
* Kama umesoma oa aliyesoma ili kuepusha malumbano. Ukioa msomi halafu wewe hujasoma utaugua ugonjwa wa "complex inferiority" dalili zake ni kujihisi amekudharau kumbe ni ugonjwa wako mwenyewe. Na ukioa mtoto wa kishua wakati mwenu hali sio nzuri asilimia kubwa utajihisi kunyanyaswa na utapoteza haki yako ya mzaliwa wa kwanza kama Hesau kisa kunde.
Asanteni.
oh sawa....Hana tofauti na mwanaume msomi.
Ni mwanamke aliyepiga kitabu mpaka akafikia hatua ya kuwa na profession flani. (My opinion)
kuna mwanamke nilimtongoza kwa kua alijiona msomi akaniuliza unakiwango gani cha elimu nikamwambia sijasoma kabisa kwani nimetuma maombi ya kazi Akasema hapana ni kujua tunikamwambia katika vyeti vyako mapenz umefaulu kwa kiwango gani ? Kama hamna ujue Mapenz na elimu vitu viwili tofauti kabisaTuliokwishaoa tunapita kimya