^^
Da! Kuna watu mna bahati humu duniani,,unapata wa kukubalia hali uliyonayo??
Mie nina kitanda cha thamani lakini hata wa kukichungulia simuoni !!
I wish I were you
^^
^^
Da! Kuna watu mna bahati humu duniani,,unapata wa kukubalia hali uliyonayo??
Mie nina kitanda cha thamani lakini hata wa kukichungulia simuoni !!
I wish I were you
^^
Hata mimi aisee.
wana jf habari mimi kijana mwenye 27 miaka,na umri wangu unakimbia.
Wadau
nipo chumba kimoja nalala chini na godoro langu sabab maisha bdo hayajakaa poa.
Lakini nina mrembo wangu ametoka familia yenye uwezo fulan wa maisha ni wa muda sana ktk mapenz yetu,huyu mpenz ananilazimisha sana nimuoe na tutafute wote maisha na kadai hajali kulala kwangu chini tutakomaa wote.
Jamani kwakuw nampenda nimekubali kutafuta naye hivyo hivyo ingawa sijakaa sawa. Je uamuz ninaochukua ni sahihi na kwa bahati mbaya sina elimu najihusisha na kilimo na maisha ya kuunga unga .
hebu wekeni picha za vitanda vyenu tuvione.........
Ilimradi siku zikikutembelea usimnyanyase. Uzoefu wangu hunionesha design yako mkija kupata basi inakuwa kama fungulia mbwa na bidada unaanza kumuona si sawa yako.
Himidini wewe hutapata wa hivyo, Mungu huwa anaweka equilibrium fulani hivi, yaani wewe utafall kwa pasua kichwa na maisha yataenda tu. Sad but, utaniambia kama sio true.
Kaunga hebu nitabirie na mimi nitapata wa namna ipi.Ilimradi siku zikikutembelea usimnyanyase. Uzoefu wangu hunionesha design yako mkija kupata basi inakuwa kama fungulia mbwa na bidada unaanza kumuona si sawa yako.
Himidini wewe hutapata wa hivyo, Mungu huwa anaweka equilibrium fulani hivi, yaani wewe utafall kwa pasua kichwa na maisha yataenda tu. Sad but, utaniambia kama sio true.