...😱 kumbe watoto wa kike "mtihani" ehh? ...lol.
Mtoto ni mtoto bana, hata wa kiume aweza acha dini, mila na desturi za kwao na kufanya kinyume na matakwa yenu wazazi.
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
Hahaha nakumbuka kale kamsemo kanasema; Let us select some sick people and allot them between us and try to heal them by prayer.Oh ckujua umgonjwa kias hiki, iz there a doc in the house plzzzzz.....................get well soon fazaa
wewe acha utani dini zipo nyingi sana labda uelewa wako ndo maana unajua hiyo moja tu.halafu mtu mwenyewe hajataja yeye au mwenzie ni dini gani lakini ushaanza kubashiri?dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
Nilijua utakuja na maneno mengi yasio na mana lolz.kuna wenzio huwa wanautukana ukristo maeneo ya ya uwanja wa manzeze karib na soko la manzese darajan pale, nna uhakika pale panakufaa zaid na utabwatuka yote unayoyataka na unavyojiskia, tuache watu tuchambue yenye msingi humu, naamn hakuna dn inayompeleka mtu mbingun, By the way Mungu ni mmoja na katuumba wote kwa hyo kwangu kabla ya uislam au ukristo ubinadam unaanza kwanza....
We hujui kama mungu kaumba majini na binadamu ili wamuabudu? Sa usione ajabu waislamu wakifuga majini.Kama binti ni muislam basi ni vizuri akabadiri kuwa mkristo nadhani kila mtu anajua kuwa waislam wanafuga majini, uneducated na uchafu mwingine.
Nyingi tu za kujitungia dini ya Mungu ni moja tu :bounce:wewe acha utani dini zipo nyingi sana labda uelewa wako ndo maana unajua hiyo moja tu.halafu mtu mwenyewe hajataja yeye au mwenzie ni dini gani lakini ushaanza kubashiri?
Wana JF wenzangu, naomba mnisaidie kuhusu hili linalonikabili
Nina rafiki yangu MWENYE UMRI WA MIAKA 25 (AMEMALIZA CHUO KIKUU, 2011) Yeye ni wa Imani tofauti na yangu lakini nimempenda na nimedhamilia kuishi naye kama my wife lakini tatizo kubwa kwake ni kwamba HATAKI kubadili IMANI yake mpaka hapo nitakapokwenda kutoa MAHALI kwani anasema kwa mila za kwao (KINGONI) HAKUNA KISHIKA UCHUMBA WALA UCHUMBA bali kuna URAFIKI then Ukienda kujitambulisha nyumbani kwao ndo unatoa na MAHALI JUMLA JUMLA.
Naombeni msaada wenu kwa sababu nimekuwa nikimsisitiza sana lakini yeye anakataa kwa kusema kuwa:-
1. Nikibadilisha Imani na wewe ukanikataa ITAKUWAJE?
2. Naishi na mamdogo wangu, Hivyo nikibadili IMANI hatanielewa kwani ni MKALI SANA-Ila kama ningekuwa naishi na Mama mzazi ambaye alikuwa mwelewa-NINGEBADILI NA ANGENIELEWA NA NISINGEPATA SHIDA YOYOTE.
Yeye anaonekana Kumtii mama yake Mdogo sana kuliko yeyote yule. Je Nifanyeje? NAOMBA MSAADA WENU.
.....tii "machale" yako, mapenzi sio kila kitu katika maisha. Tofauti yoyote kubwa uionayo/unayoigundua kipindi cha uchumba ujue "itakukwaza" tena huko mbele ya safari.
Love is not blindness, ....you choose not to see (the truth)
usikubali kumfuata,waislamu wanafuga majini....utapotea.:eek2:
Kama binti ni muislam basi ni vizuri akabadiri kuwa mkristo nadhani kila mtu anajua kuwa waislam wanafuga majini, uneducated na uchafu mwingine.