Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
ungejaribu kuuliza hao matajiri kama wote wanaishi na wanawake wanaowapenda zaidi..nadhan unaweza kubadili huu mtazamo ambao umekuwa ukiuhubiri hapa mara kwa mara...
Kwa hiyo DEMBA ukiwa mwafrika ndiyo sababu ya kukataliwa kuoa mwarabu?Au ikionekana umechoka ndiyo vikwazo vya kuoa vinatokea?
Sidhani kama skin colour has nothing kwenye relationship!
Last edited by a moderator: