Nataka kuoa binti wa kiarabu

Nataka kuoa binti wa kiarabu

Kwahio tatizo ni Dini/Imani na sio ethinicity ?, Sababu hata waarabu wakristo wapo.., swali lako nadhani atakayewe kulijibu ni nyie walengwa na ndugu zenu kama mnaweza kuishi kwa kufuata imani tofauti au mmoja akahamia kwa mwingine. Sababu hata ndoa ya kiserikali bado ni ndoa.
 
Hahahahaaaa, mbona waarabu wapo wengi tu wa kuoa, wapo Luguru, Lalago, Meatu, Mleba, Didia, Tabora, Ngara na kwingineko unaoa tu wala hakuna shida!
he he he, wapo na wa msalala, maligisu na igombe, hawana hiyana. Na dini pia wao wenyewe wanabadili!!

Wa afghanistani au Oman atawapata wapi?
 
Kwa hiyo DEMBA ukiwa mwafrika ndiyo sababu ya kukataliwa kuoa mwarabu?Au ikionekana umechoka ndiyo vikwazo vya kuoa vinatokea?

Sidhani kama skin colour has nothing kwenye relationship!
mimi sijaongelea kabisa habari za rangi kwenye mapenzi bali nimekukoti kutokana na komment yako kudai kwamba ukiwa na pesa tu unaweza kumpata mwanamke yeyote umtakaye. unaweza kupata wanawake wengi lakini sio guarantee kwamba utampata yule unayempenda. ...
 
Wanawake wa kiarabu wanapenda sana kuliwa tigo!!! Siwapendi kwa sababu hiyo,nimewahi kukutana naye mmoja aliniambia kwao Pakistani sasa nilipoomba gemu aliniambia yeye bikra hivyo asingeweza kunipa voda ila akaniambia kama naweza basi nipewe tigo!!! Nilimkimbia sana maana nilimuona ni adui,,,,,!!!!!

Astakafirllah wallahi....
 
Nipo na huyu binti wa kiarabu huu mwezi wa nane sasa, kiukweli mi nimeridhika sekta zote bila wasiwasi wowote ule. Sasa ili kumchukua jumla nimeona nikimaliza chuo tu nimchukue mara moja wajanja wasije wakaniwahi.

Ttizo ni moja tu, imani yake na mimi ni tofauti naweza kumuoa tu hivyo hivyo?

Mkuu huyo ni mwarabu mweusi au mweupe? Halafu mwarabu rohoni au ndevuni? Hebu weka wazi tukusaidie...
 
Kama ni miongoni mwa wale waarabu ndugu zangu wa Tabora basi hapo ili kupata radhi ya wazazi wake huna budi kubadilisha dini tu hapo utajibebea mzigo lakini kama ni mtoto wa mwekezaji toka Iran, Saudia etc hapo huna chako wewe epusha msongamano tu.
 
Back
Top Bottom