Nataka kuoa barmaid. Je, nitadumu nae?

Nakuhakikishia kuwa siyo kila anayefanya kazi bar anaipenda kazi hiyo. Nina rafiki yangu kaoa barmaid lakini amini ni mwaka wa nne ndani ya nyumba hakuna fujo wala nini. Na wamejaliwa kuzaa watoto wawili. Yaani maisha yake ni mazuri kabisa.
 
Kama huyo 'Barmaid' ni muhaya naomba achana nae mara moja,wahaya hawajatulia kabisa ni 'vicheche'.
 
Unaweza ukamshauri aache hiyo kazi na mkajichanga ukamfungulia ka restaurant
 
Inategemea labda kama unataka kufungua bar, ila kama unaweza kuvumilia oa tu, inategemea na lengo lako la kuoa ndo utaona kama akufaa au vipi
 
One thing like your post
 
UHUNI NI TABIA YA MTU SIO KAZI ANAYOFANYA WE MUOE MTAFUTIE KAZI NYINGINE KAMA UNAOGOPA ATAPATWA NA ULIVYOMPATA WEWE
 
Wako wanawake, wanajiremba na kuingia mtaani, kutafuta Mabwana ili wapate pato la siku.

Wahudumu Wa bar, wako kazini wanaingiza kipato kutokana na kazi Yao, yawezekana pamoja na kutongozwa ( wanapenda na kupendwa)

Wafanyakazi Maofisini, wanapata kipato kupitia mishahara Yao, na wanatongozwa na kutongozwa

Mwisho kuna Mwanaume anayefaa kuwa Mume.

Kuna Mwanamke anayefaa kuwa Mke.

Sio kila mwanamke anafaa kuwa MKE.
 
zaidi ya 99% ya mabarmaid ni kunguru wasiofugika na huu ndo ukweli.mwanamke aliezoea kubadili mboga kila leo si rahisi sana kuvumilia mmoja.
kuna kazi nyingi za kufanya hapa duniani jiulize kwanini alichagua kufanya kazi hiyo
n.b sikiliza moyo wako
 
Hongera. Nao ni binadamu kuna wengine wanafanya kazi hizo kutokana na changamoto za maisha
 
Mwaka mmoja umeshafanya uchunguzi wako hapa na pale. Umemtambua vya kutosha. Ushauri kama umejipanga basi mwachishe hiyo kazi uwe na amani zaidi. Baadhi yao hawana shida kabisa hutajuta
 
oa kabsa km nafsi imeridhia , na km kitabia yuko poa oa tu ,, kama unaona kazi anayofanya ina vshawishi basi unamtafutia kazi ambayo ww mwenyew utakuwa na aman nayo
 

ukweli mchungu huu, umenena vyema kabisa, afanye maamuzi yaliyosahihi ila ajue akili kumkichwa
 
Mbona wana tulia tu kaka we ondoa shaka kabisa hawana shida,
 
Ulimpataje??? Kama kwa kumlipa basi jua wako wengi wanaomlipa mpaka sasa ila pakulala anapo so halali anafanya changamsha bwege.
 
Pole na Hongera;

Ondoa hio stereoptype uliyonaya kichwani kwanza kabala hujafanya uamuzi wowote.

Mke ni nani,kwa tafsiri ya kaifrika kabisa,Mke ni mwanamke ambaye unamua kuishi naye kwa sababu una mmudu.Unajua maana ya kmmudu mwanamke?Kiafrika tunamaanisha subjugation yaani mwanamke awe mnyenyekevu kwako na sio unyenyekevu wa kinafiki.

A barmaid is just a woman with dreams and aspirations and ukiweza kummudu she is the best wife because unajua uzuri na ubaya wake ila changamoto yangu kwako ni moja tu.Mlianzaje uhusiano wenu?Je mlianza kwa ajili ya kuoana au mlianza mkadumu then sasa mnafikiria next level kama jibu ni B basi you might have found a soul mate kama ni A nena na moyo wako.

What other choices of women do you have ambao ungeweza kuwaoa,je wao ni bora than huyo BARMAID

Nitaendelea
 
Twende mbele, turudi nyuma. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tunatishana bhana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtafutie kazi nyingine mana huko ataendlea kushikwa tako na walevi
 
Kama anajitambua na unampenda muoe tu hakuna tatizo ila ni vizuri kama atafanya kazi nyingine tofauti na hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…