Nataka kuoa baada ya Ramadhan

nimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
asante Mr bean, utajulishwa
 
Mungu wangu
 
nimejifunza kitu kuhusu uhusiano kutoka kwenu. Mungu awajaalie muoane na mudumu na furaha katika ndoa yenu. pia nipo available mkitaka kunialika harusini
Hahahhahaa et uko available tutakunyima mwaliko maksudi sasa, anyway asante sana sana, endelea kujifunza tu alipo Archduke na mie nipo
 
Hahahaha Moyo wangu tulia tena utulizane hasa humu Jf kuna VYA watu usije nitia masahibuni maana si unaona mwenyewe tunavyoringishiwa?Usijali moyo wangu km ipo ipo tu hii ID yetu ya maumivu ipo siku itakuwa historia,

Bachelor mwenzangu piga moyo konde na Allah akujaalie na kukuongoza umpate mwenye kheri na ww.Aamin ya rabbi.
 
Ahahahaa jamani nan anawaringishia sasa?? Tusamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…