Nataka kununua simu mpya, Ninunue ipi?

Kama ni mtihani tayari mshafeli kwa kutokufuata instructions, mtu kauliza kati ya LG G3 na HTC one (m8). Ushauri wote unge base kwenye hizi chaguo zake not out of it
Samsung nzuri....bajeti yako ndio itaweza chagua simu nzuri

iPhone 7 plus matte black

iPhone s7 balaa blue

Kizazi cha Samsung
S8 1.7mil
S8+ 1.9mil
144f7ba57e882be219037940d86bf6e7.jpg

Infinix note 3 ni nzuri
 
Kama ni mtihani tayari mshafeli kwa kutokufuata instructions, mtu kauliza kati ya LG G3 na HTC one (m8). Ushauri wote unge base kwenye hizi chaguo zake not out of it
Mkuu wewe ndo unafeli, usifananishe mtihani na vitu vya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom