Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,637
- 81,753
Bei sijui mkuu mimi nimtaalamu wa umeme tu ila bei za hizo machine sijui.asante, hiyo hp 35 bei yake imekaaje
Bei sijui mkuu mimi nimtaalamu wa umeme tu ila bei za hizo machine sijui.asante, hiyo hp 35 bei yake imekaaje
Wazo zuri sana jamaa, kazania mpango wako utafanikiwa
Bei sijui mkuu mimi nimtaalamu wa umeme tu
na kwa huo mchanganuo ilioonyesha wa umeme bajeti yake imekaaje
[emoji2] [emoji2]asante kwa kunitia munitia moyo
Kinu 75 mota 25,kumbuka mota ikiwa kubwa matumizu yake ya UMEME pia ni juu ila 25 HP ni nzuriAina gani na uwezo wake (in of term of hp or otherwise) upoje mkuu
Duuh kiukweli naona kwa MTU aliye serious na hii kazi kwa siku kuzalisha chini ya tan 10 hasara na hzo mota hapo hakuna ya kupiga mzigo kwa Massa 24Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Duuh kiukweli naona kwa MTU aliye serious na hii kazi kwa siku kuzalisha chini ya tan 10 hasara na hzo mota hapo hakuna ya kupiga mzigo kwa Massa 24
[emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2]
Hakuna shida mbona jamaaa, umesomeka vyema jamaajust writing errors
Unabadili motor na vinu tu hakuna shida sasa unaanzaje kununua mamotor makubwa wakati unakoboa tano 3 per day.Duuh kiukweli naona kwa MTU aliye serious na hii kazi kwa siku kuzalisha chini ya tan 10 hasara na hzo mota hapo hakuna ya kupiga mzigo kwa Massa 24
Mkuu habari..., nikumbuke pm nimekutumia ndoto pleaseeeeMotor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
SiioniMkuu habari..., nikumbuke pm nimekutumia ndoto pleaseeee
Mkuu habari..., nikumbuke pm nimekutumia ndoto pleaseeee
Ngoja niitume tena mkuuSiioni
TuwasilianeNipo Mwanza ndugu
Nimekutumia pm tena Mkuu, naona pia ukitumia application ya Jf kuona pm inasumbuaSiioni
Hii biashara no nzuri sana Ila kinachoponza wengi ni kuwa wengi wanaingia bila kuwa na taarifa sahihi. Kwa machine ya kukoboa ya roller tatu na kwa kupiga mzigo was haja letsay hata hizo tan 5 kwa siku, motor ikifikisha miez mitano ni bahat.Unabadili motor na vinu tu hakuna shida sasa unaanzaje kununua mamotor makubwa wakati unakoboa tano 3 per day.
Huuu ndo ukweli kwa kupiga mzigo was haja na kuwa na machine ya roller tatu kukoboa ni utani. Kiukweli kuanzia roller tano au sits hapo kazi utaifurahia. Hii kazi faida ni ndogo ila uzalishaji wako ukiwa mkubwa utaipendaKwanza HorsePower 20 ni ndogo sana labda kama anasaga visado visado. Angalau motor ya HP 35 nakuendelea kama anafanta kibiashara zaidi. Alafu mara nyingi lazima uwe na motor mbili kwaajili ya mashine ya kusaga na kukoboa.
Unaweza kuongeza kimashine cha kufanyia packaging.
Kumbuka hapo bado umeme mkuu. Kwa motor hizo mbili au tatu lazima utahitaji Meter ya 3Q ya 250A.