Nataka kununua mashine ya kusaga

Nataka kununua mashine ya kusaga

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,055
Reaction score
1,351
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation ikiwezekana hata na changamoto zake.

Karibuni kwa ushauri.
 
Hongera sana kwa kutaraji kuanza kujiajiri
 
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation ikiwezekana hata na changamoto zake.

Karibuni kwa ushauri.
Karibu kwenye gemu,!!! Hakuapia hautajuta ila hakikisha unanunua sido na sio za kichina kinu cha kusaga number 75 na mota HP 25!!! Kama upon dar weka MAHINDI na nafaka nyingine waache wasiojua wanunue Costa na eicher
 
Mkuu nashukuru sana kwa mawazo ya

Mkuu nashukuru sana kwa mawazo yako, naomba kujua bei ya mota na kinu chake pia.
 
Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
 
Asante sana, Sasa angalau nishapata pakuanzia
 
Hongera mdau!ukifanikiwa awamu hii utahesabika mmoja wa miliki wa Kiwanda

Ova
 
Wazo zuri sana jamaa, kazania mpango wako utafanikiwa
 
Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Kwanza HorsePower 20 ni ndogo sana labda kama anasaga visado visado. Angalau motor ya HP 35 nakuendelea kama anafanta kibiashara zaidi. Alafu mara nyingi lazima uwe na motor mbili kwaajili ya mashine ya kusaga na kukoboa.

Unaweza kuongeza kimashine cha kufanyia packaging.

Kumbuka hapo bado umeme mkuu. Kwa motor hizo mbili au tatu lazima utahitaji Meter ya 3Q ya 250A.
 
asante, hiyo hp 35 bei yake imekaaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom