Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,163
- 37,801
Habari Wada!
Naomba ushauri wenye. Najua humu ni kama jungu kuu. Nataka kununua mabasi yangu mwenyewe ya mwendo kasi, niyatumie jijini DSM kusafirisha abiria.
Mabasi haya nataka kuyapitisha Katika bara bara hizi hizi za mwendokasi kwa vile naamini ni mali ya umma.
Ili kuyatofautisha na haya ya sasa hivi, yangu yatakuwa hayana rangi na pia nauli itakuwa jero tu.
Je, napaswa kuomba ruhusa wakati ni pesa yangu?