Nataka kununua IPAD 1 au IPAD 2. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kununua IPAD 1 au IPAD 2.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Echolima, Sep 5, 2012.

 1. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Habari za leo wakuu,nimekuwa nikiziona IPAD 1 IPAD 2 watu wanazitumia sijajua sana zinafanyaje kazi hasa upande wa kupata INTERNET.
  Mimi nakaa nje sana na mji na ninataka kununua IPAD huku niliko mtandao unaopatikana ni AIRTEL tu mingine inasu-sua sana je kwa IPAD nitaweza kupata INTERNET vizuri?????????
  Naomba msaada kwenu.
   
 2. sili

  sili JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Kwa internet ya airtel unaweza kupata huduma ya internet vizuri kabisaa
   
 3. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280

  ninayo nauza bei nzuri tu , wasiliana nami 0655 308308 ipad_3g_20110302.png ipad_3g_20110302.png
   
 4. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Vipi ina Appl ngapi???? na ni IPAD 1 au IPAD 2?????
   
 5. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Chukua kitu cha I PAD 3 mkuu ndiyo kinachosumbua mjini sasa hivi.
   
 6. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  IPAD 3 Inaenda kiasi gani kwa sasa,je INTERNET inshika vizuri maana mimi interest yangu kubwa ni kupata internet bila shida
   
 7. i411

  i411 JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi ninge kushauri Ipad 2 with 3G ambayo unaweza tumia sim card, inachapa mwendo vizuri tuu na haina lolongo. Ipad one ni slow kiaina flani na haisupport latest software na ipad 3 inakula batri zaidi na inakatatizo ka kuwa chamotoo kiaina ukiipigisha mzigo. My ushauri chukua ipad2
   
 8. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Shukrani sana kwa maelezo mazuri ya kusaidia maana mimi ni mgeni kwenye IPAD lakini nilikuwa naipenda sana hasa kwa kufanyia presentation kwenye mikutano mbali-mbali.
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  nisamehe lakini sielewi kwanini utake ipad. una laptop labda? coz ukiwa na laptop utaweza kufanya vitu zaidi kuliko IPAD na internet bila shida. the only time unatakiwa kuwa na IPAD ni muda ambao unataka kushow off. hizi IPADS ni just glorified, oversized smartphones. ushauri wangu ni utafutane na laptop + modem, ten ndo utafute IPAD 2
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nunua laptop au mini-laptop...unless kama una hela ya kuchezea.
   
 11. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Ama kweli hapa ni GREAT-THINKER nimeyapitia mawazo yenu mengi na kwa sababu sijui sana kuhusu IPAD na nimeafiki bora ninunue laptop+modem.
  Nilikuwa njia panda kipindi kirefu sana kwa haraka haraka niliona labda nikinunua IPAD itamaliza kero yangu nawashukuru wote mliochangia katika kunisaidia
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  ngoja nkupe ushauri muhimu sana. Nunua i pad yenye 3G ukinunua ambayo haina utajuta manake haina tofauti na karatasi
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  inabidi uwe na komputer kwanza ndio ununue i pad
   
 14. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Aksante sana kwa ushauri wako mzuri nimeridhika lakini i want to know if you have laptop is there need to have ipad??????
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  tablet computers is nothing but a swag to attract ladies..hizi ni smart phones zilizo kwenye umbo kubwa period..check specs za samsung s3,sony xperia na iphone hazina toufauti na hizo ipads
   
Loading...