Nataka kununua Honda Cr-V Ls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kununua Honda Cr-V Ls

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ngoshwe, Jun 2, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bandugu, nina mpangon wa kununua Honda Cr-V Ls ya mwaka 1998 kutoka kwa mtu. Sina uzoefu na aina hii ya gari. Kwa yeyote mwenye kujua kwa undani review. Ushauri tafadhali.
  Thanx
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,881
  Likes Received: 20,957
  Trophy Points: 280
  dont go for higher mileage,otherwise one of the most reliable small size SUV around.go for it.
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  gari nzuri sana hizo kwenye mafuta,kutengeneza na udumu mda mrefu sana.nunua mkuu.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Visit honda.com.au, they will probably have more detailed information!
   
 5. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Namiliki moja na nimeuza mawili ya namna hii. Zinakuwa advertized kama ni AWD lakini in reality zinabehave kama Front Wheel Drives hivyo ziko kidogo delicate kutokana na pressure kubwa kuwa katika front axle. Massively underpowered kwa displacement ya 1998c. Decent fuel efficiency given the year na provided ya kwamba utafanya service vizuri (achana na oil chafu chafu au za bei chee mno) kubadilisha filters kila unapomwaga oil, engine yake utakaa nayo mpaka uichoke mwenyewe. Very lightweight and zina a decent weight spread hence on road and cornering stability.

  Nyingi hapa Bongo zina a 3-speed auto gearbox ambayo ni vyema ukawa unaflush trans fluid kila kilometa 40,000 ukizingatia mazingira, foleni na umri wa transmission box. Max Fuel Capacity around 52 litres. OEM tyre size kwa za mwaka huo ni 205/70R15, matairi mazuri ya size hii lazima yakugharimu angalau 180,000 kwa moja jipya. Best of luck. Ukiwa na maswali zaidi uliza tu
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mimi nilishauriwa nisinunue kwa Sababu Spea zake ni Adimu sana, Nakushauri fanya Uchunguzi wa Kutosha maana hizo gari mostly nimesikia sifa zake mbaya kuliko Nzuri
   
 7. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Maduka yaliyojikita katika vipuri vya HONDA hayako mengi mjini hapa ila magari haya yana vipuri vyingi vinavyoingiliana na magari mengine. Hii imeleta naadhi ya wajanja kujaribu kujipangia bei zao ila kama una fundi mzuri au wewe mwenyewe unaufahamu mzuri wa hivi vyombo basi shida kama hizi kuzitatua ni kitu kidogo sana. Kwa mfano Radiator fan ya HONDA wanauza kuanzia kwenye laki na nusu ila feni nzuri ya Mark II ya TSh 50,000 with a minor modification ya max TSh. 3000 inafunga bila ya matatizo. Kutokana na kwamba AWD inatesa sana front axles matatizo mengi ya maintenance ya HONDA ni katika stabilizer links, CV Rubber Boots na Suspension bushes vyote ambavyo ni bei ya kawaida tu.

  Ukilinganisha na mini SUVs nyingine za kabla ya mwaka 2000, gharama za kuendesha HONDA ni ndogo kushinda Rav-4 na juu kidogo kushinda Vitara ya cyclinder 4 ila angalau hautokuwa unaibiwa power window kila siku.
   
Loading...