U must be kidding yan Rav 4 new model umeweka budget ya mil.10......mkuu andaa mil.60 hapo ndio utapata hii gariWakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
kumbe unataka ......takaWakuu habari zenu

Sawa mkuu nitakutafuta namba yko ninayo.japokuwa umesema hupendi madalali mi ni dalali ntakusaidia Rav 4 new model mpya huwezi pata kwa hiyo bei ila noah utapata nakushauli chukua noah ya dhamani old model ya mwaka 1998/99 , rav 4 new model ni 24m lakini unaweza pata hata kwa 15m iliyotumika hapa na number c au b .
noah usije jaribu kuchukua vox utalia asante kwa mahitaji ya gari nione 0657145555.
Mkuu me nataka gari, sio vingine jamankumbe unataka ......taka
Kila la kheri Mkuu ila hiyo pesa kama uongeze kidogo aiseeWakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
Hivi kuna tofauti gani kubwa ya kuagiza gari nje na kununua kwenye Yard.(Ubora na Gharama)km unahitaji gari rav4 kwa bei hiyo ni ngumu mkuu labda useme unahitaji gari aina ist, raum, march, opa hizo sawa kw bei hiyo njoo kwenye yard yetu ipo nyerere road uangalie upendayo au niPM kwa maelezo zaidi
Ni ngumu kupata Rav 4 model mpya kwa bei hiyo, hasa kwa bonded warehouse za Dar. Labda ungeanzia 18 kwenda juu.Wakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
sasa ndefu utapandaje wakati mwenyewe mfupiSerena sio zile zinafanana na kilikuu, sitak gar fupi maana me mwenyewe mfupi
Rav $ New Model ana Milioni kumi?? Tena anataka kwenda Yadi?? Anatania aisee kitu milioni 40 kileRav 4 kwa bajeti hio itakuwa haipo kwenye hali nzuri labda hiyo Noah.
mkuu mna Harrier old model ya cc 2160?km unahitaji gari rav4 kwa bei hiyo ni ngumu mkuu labda useme unahitaji gari aina ist, raum, march, opa hizo sawa kw bei hiyo njoo kwenye yard yetu ipo nyerere road uangalie upendayo au niPM kwa maelezo zaidi
Voxy zina shida gan mkuu make mm nimenunua voxy half ni 4welljapokuwa umesema hupendi madalali mi ni dalali ntakusaidia Rav 4 new model mpya huwezi pata kwa hiyo bei ila noah utapata nakushauli chukua noah ya dhamani old model ya mwaka 1998/99 , rav 4 new model ni 24m lakini unaweza pata hata kwa 15m iliyotumika hapa na number c au b .
noah usije jaribu kuchukua vox utalia asante kwa mahitaji ya gari nione 0657145555.
tasnia ya wanga na ushirikina, kwanza hili swali linahusika vipi hapa?Wewe ni celebrity wa tasnia gani???
Usiseme hivyo, mfano Rush ina cc1500 lkn huwezikuipata kwa 10m labda iliyoibiwahiyo ni hela ya hivi vigari vyetu vyenye cc 1500
Hata mimi ni mhanga voxy, hii gari kimeo sana, sana sana utaenjoy kwa miezi michache au mwake then ugonjwa moyo kwa kwenda mbeleVoxy zina shida gan mkuu make mm nimenunua voxy half ni 4well