Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Rav 4 kwa bajeti hio itakuwa haipo kwenye hali nzuri labda hiyo Noah.Wakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
Wakuu habari zenu

Huwezi kupata Gari hyo kwa pesa hyoWakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
Kwa hiyo bei hata Rav4 old model itakuwa mbovu sana.Wakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
Kwa ela hiyo huwezi kupata rav4 unayohitaji.Wakuu habari zenu
Naomba mnipe ushauri nataka kununua gari aina rav4 new model, sina uhakika kama nimepatia jina ila ni rav4 hili toleo jipya.
Tatizo naogopa kuingizwa mjini, kwa anaefaham yad nzur za magar ambapo nitaenda direct bila kutumia madalali pia pesa yangu Mil10 je! Naweza pata gari aina ya rav4 kwa bei hiyo.
Kama ikishindikana hata toyota Noah ambayo bado mpya mpya kias pia sio mbaya.
Naishi tanga wakuu, dar sio mwenyeji sna Naomba msaada wenu wa mawazo,
ahsanten nasubir mchango wenu.
Hakuna Noah ya ml 10 yardKwa hiyo bei hata Rav4 old model itakuwa mbovu sana.
Noah utapata, tena nzuri kabisa.
Kwa bei hiyo atafute spacio au raum.. Ila kwa rav 4 aongeze kumi nyingineKwa hiyo bei hata Rav4 old model itakuwa mbovu sana.
Noah utapata, tena nzuri kabisa.
Mkuu niuzie yko basi kama unayo hiyo rav4Mil 10?
Rav 4 New Model?
Utani ?
Noah mpya c naweza kupata wakuuHuwezi kupata Gari hyo kwa pesa hyo
Serena sio zile zinafanana na kilikuu, sitak gar fupi maana me mwenyewe mfupiNicheki nikuuzie Nissan Serena
kwa hiyo ela unapata noah nzuri tu.... unataka old model au new modelSerena sio zile zinafanana na kilikuu, sitak gar fupi maana me mwenyewe mfupi
japokuwa umesema hupendi madalali mi ni dalali ntakusaidia Rav 4 new model mpya huwezi pata kwa hiyo bei ila noah utapata nakushauli chukua noah ya dhamani old model ya mwaka 1998/99 , rav 4 new model ni 24m lakini unaweza pata hata kwa 15m iliyotumika hapa na number c au b .Wakuu habari zenu