Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,982
- 10,371
😅😅😅Watu hawachelewi kukodi chumba na kukifanya ofisi,mtu apigwe fasta,then ofisi itokomee kusikojulikana baada ya malipo ya nusu ya gari hewa.
😅😅😅Watu hawachelewi kukodi chumba na kukifanya ofisi,mtu apigwe fasta,then ofisi itokomee kusikojulikana baada ya malipo ya nusu ya gari hewa.
Hapana Mkuu , kama unahitaji kweli nikuelekeze home ukaichek imepaki tu.Chukua 9
Ist ya million 7 mmh weka pichaNina Ist nzuri inaenda m7 niko moshi kama unahitaji
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Picha tafadhariNina Ist nzuri inaenda m7 niko moshi kama unahitaji
Kama unataka gari mpya agizaIst ya million 7 mmh weka picha
HII x mbona inapendwa sana kuliko F
PointRangi ni personal preference ila nyeupe na silver zinafaida zaidi. Kwa kufananisha na rangi kama nyeusi, rangi nyeupe: -rahisi kumaintain -ngumu kuchafuka -cheap kurepair -zinaficha dents na mikwaruzo midogo midogo.
Yote yanaweza kua sio technical, ila kubwa zaidi white na silver zinahakisi zaidi joto na kupelekea kua na joto dogo ndani, na ukichukulia IST ina AC vents za mbele tu.
Habari mkuu!Rangi ni personal preference ila nyeupe na silver zinafaida zaidi. Kwa kufananisha na rangi kama nyeusi, rangi nyeupe: -rahisi kumaintain -ngumu kuchafuka -cheap kurepair -zinaficha dents na mikwaruzo midogo midogo.
Yote yanaweza kua sio technical, ila kubwa zaidi white na silver zinahakisi zaidi joto na kupelekea kua na joto dogo ndani, na ukichukulia IST ina AC vents za mbele tu.
Iyo inakula mafuta sana tafuta ya cc 1490Habari mkuu!
Nahitaji kununua Spacio ila kutokana na budget yangu nakutana na zenye cc1790 badala ya cc1490.
Je, Spacio ya cc1790 ina mapungufu gani kulinganisha na ya cc1490?
Asante.