Nataka kununua Gari aina ya IST

Nataka kununua Gari aina ya IST

1. Hongera.
2. Chaguo zuri sana.
3. Agiza nje. Faida zake ni nyingi.
4. IST mwaka wowote nzuri ila make sure ni 1.3L FWD achana na 1.5L AWD
5. SBT au Beforward

Kuongezea:
6. Tafuta silver au nyeupe.
7. Anzia kuangalia ushuru kwanza ujue mwaka gani (2002 hadi 2007) una ushuru mdogo ndio huo mwaka katafute online.
8. Usiishie kutafuta tu cheapest online, angalia na hali ya gari (kwa kukagua Auction Sheet na Condition Report, kama hawana izo achana nalo ilo).
Pia mkuu kwanini ume recommend rangi ya silver na nyeupe pekee ??
 
Pia mkuu kwanini ume recommend rangi ya silver na nyeupe pekee ??
Rangi ni personal preference ila nyeupe na silver zinafaida zaidi. Kwa kufananisha na rangi kama nyeusi, rangi nyeupe: -rahisi kumaintain -ngumu kuchafuka -cheap kurepair -zinaficha dents na mikwaruzo midogo midogo.

Yote yanaweza kua sio technical, ila kubwa zaidi white na silver zinahakisi zaidi joto na kupelekea kua na joto dogo ndani, na ukichukulia IST ina AC vents za mbele tu.
 
Rumuion Gari nzuri sana ni ya kisasa sana. Kuliko hata IST. Kwa mdada itamfaa sana. Ina space kubwa. Haina complications kama magari mengine. Na recommend abadili mawazo aende Na RUMUION. Bei pia ni nzuri kuliko IST.
sina baiskeli hata pikipiki ila rumion ina muonekano flani sijawahi kuuelewa aisee
ninavyoiona nissan juke ndio kama rumion
 
Mkuu ukitaka kuagiza gari nje ya nchi wasiliana NAMI nitakupa usaidizi ushauri na mwonhizo mzima kuanzia kuagiza gari kulipa Kodi na kufanya clearance and forwarding agent fees lkn pia tutakusaidia kufanya usajili na kulipa BIMA

0686153806
 
Model ya kati ndio ikoje hiyo ?
download (6).jpeg
 
Back
Top Bottom