Nataka kumuua mbwa

nitafute nikupe BANGE na majani fulani hivi umchanganyie.. alaf uje nae akiwa amekatwa mkia kama cm5 hivi,, alaf muache kwangu siku 7.. uje umchukue

ANGALIZO kwako kuwe na fensi kubwa tu
 
Kama alifanyiwa figisu na wez, ebu jaribu kuangalia nahii.. zake zipo? na kama hazipo hicho ndio chanzo cha uzuzu alio nao.
 
nitafute nikupe BANGE na majani fulani hivi umchanganyie.. alaf uje nae akiwa amekatwa mkia kama cm5 hivi,, alaf muache kwangu siku 7.. uje umchukue

ANGALIZO kwako kuwe na fensi kubwa tu
Hahahahahahah..........Mkuu wewe ni mganga wa kienyeji? huo mkia anakatwa kwa sababu gani?
 
Ila Mkuu unavyochinjaga kuku huwa unakuja kuomba kibali huku? au ni swaga
 
Mbona anafanana na yule askari tunayemtafta?
 
nitafute nikupe BANGE na majani fulani hivi umchanganyie.. alaf uje nae akiwa amekatwa mkia kama cm5 hivi,, alaf muache kwangu siku 7.. uje umchukue

ANGALIZO kwako kuwe na fensi kubwa tu
Unauza bangi
 
Naona umemua kutuonyesha kuwa una miliki mbwa aina hiyo huna lolote...
Eti unaomba namna ya kumuua..watu bhana..
Kamanda huyo alikua ni mfano kwani kuwa na mbwa ni kitu cha kawaida tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…