Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,188
Mkuu; Umenena kwa uhakika. Mi nimekuwa nafuga mbwa sasa ni zaidi ya miaka ishirini (for more than 20 yrs),lakini nakumbuka tukio moja la mimi kutoa ruhusa ya kumpiga risasi mbwa wangu mmoja tu (palikuwa na shida ya ukali- yaani mtu akitaka kuja kwangu sharti apige simu kuomba kibali, walevi waliihama njia inayopita karibu na hapa kwangu, wavushaji na wavushwaji walishaimark hiyo njia, nilishtakiwa mahakamani kwa madhara aliyowasababishia watu n.k. n.k.) na tukio hilo liko akilini mwangu hadi leo. Utaathirika kisaikolojia.Utakuwa umeanza kufuga hivi karibuni bila shaka'ukikaa na mbwa muda mrefu sana hatakaa uwaze kuwauwa wanakuwa sehemu ya familia.
Hana shida ya kumuua huyo kajisikia kutuonyesha tuu ingekuwa ana shida kweli wala asingejisumbua kuja kuuliza humu..Nimemuelewa nilivyomuelewa nikaamua kupiga kimya coz hainiongezei wala kunipunguzia. I got nothing from this.
Nipe mimi huyo mbwaJamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Ahsante ya kukulinda ndio hiyo? Ama kweli kwenye watu kumi binadam mmojaJamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Naona umemua kutuonyesha kuwa una miliki mbwa aina hiyo huna lolote...
Eti unaomba namna ya kumuua..watu bhana..