Nataka kumuua mbwa

Nimekusoma kamanda shukrani
 
👏 nimekuelewa captain
 
Aisee, Tumia Fursa Mkuu, sio lazima Mbwa awe wa kukulinda na wezi tu, unaweza kwenda kumpandisha kama ni Jike au Kuuza Mbegu kama ni dume, biashara kabisa hiyo... Mbwa bado yupo? au ushampa sumu?
Tatizo Nilimhasi mda mrefu
 
Kwahiyo na wewe ukiishiwa nguvu za kiume mkeo akue siyo?! Acha hizo kila kitu na wakati wake hata wewe utafika wakati utashindwa mechi za ligi kuu utaishia Ndondo Cup. Mara mgongo, mara kiuno, mara ukose hamu, mara tumbo, mara presha, mara tezi dume ... Ujue ndio umekwisha hivyo. Sasa je wife akiona hivyo aombe ushauri wa namna ya kukuua? Utapata tabu sana! Nakwambia ukweli!
 
Mbwa umekiri umemuhasi mwenyewe, siyo mkali sababu hatengenezi testosterone halafu unasingizia juju. Pumbaav kabisa.
 
Mbwa umekiri umemuhasi mwenyewe, siyo mkali sababu hatengenezi testosterone, sasa kawa shoga haau unasingizia juju. Pumbaav kabisa.
hiyo sio sababu alikua yupo vizuri, tu hata alivyo hasiwa shida imekuja baada ya kupuliziwa dawa
 
hiyo sio sababu alikua yupo vizuri, tu hata alivyo hasiwa shida imekuja baada ya kupuliziwa dawa
Tokea umuhasi nguvu zake za kiume zilikuwa zinapungua kila kukicha sasa hana kabisa. Hiyo ndiyo sababu. Mbwa aliehasiwa anakuwa anaishi ndani ya nyumba na kupakatwa kama pet, usitegemee awe guard dog au alpha male. Hiyo haiwezekani.
 
Tokea umuhasi nguvu zake za kiume zilikuwa zinapunguwa kila kukicha sasa hana kabisa. Hiyo ndiyo sababu. Mbwa aliehasiwa anakuwa anaishi ndani ya nyumba na kupakatwa kama pet, usitegemee awe guard dog au alpha male. Hiyo haiwezekani.
Nashukuru nimekuelewa!
 
Ukiona kapungua makali, kalipe ada mpeleke wanakofundisha mbwa atarudi akiwa hatari kuliko alivyo sasa
 
Mbwa wangu mm huwa napenda tu kumwangalia na kumchezea habari za ukali wala sihitaji kuanza kulipa kachania watu nguo
 
Umeweza kugoogle picha ya mbwa sio mbaya ukagoogle na njia ya kumuua pia
 
Nauza hawa mbwa wa miezi mitatu. Bei ni 1 million only. Tunapatikana Dodoma mtaa wa Ilazo
 
JF bana; mpaka sasa inamaana hujamuua huyo mbwa wako mpaka members wa JF wakushauri kufanya hivyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…