Nataka kumuoa Paula Kajala

Nasubri mrejesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka Kula mayai na kuku wake sio
 
Umeenda kuoa biashara ya watu mjini.
Alafu malezi aliyolelewa aje awe mke bora kweli +Usingle wa mama yake .

Nenda baba nenda,ila ukweli umekwisha kila kitu kwisha
 
Hauna kibamia mkuu,yule kashapita kwingi sana
 
Ushaiona connection yake na mturuki? Kama kweli ni yeye aisee jamaa kama anachimba kitu hiyo fokoa fokoa sio poa.. jipange
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…