NAKAZIA
Kwisha anaenda Kwisha.Pesa ninazo but sitaki ni tumie pesa kama kigezo cha kumpata
Hahahahaha na nyundo na misumariNAKAZIA
Bora nkuoe wewe kuliko paulaHuyu demu nimekuwa nikimfatilia saana
Nimemuona ni mwanamke mzuri saana ambaye ana Akili saana Tena anafaa kuwa mke kabisa
Ila wanaye mpoteza zaidi ni aina ya wanaume amabao ana wapata Na mazingira ambayo amelelewa
But Na amini nikiwa naye huyu ninaweza kumbadirisha kutoka kuwa slay Queen Na kuwa wife matiere
Pesa ninazo but sitaki ni tumie pesa kama kigezo cha kumpata
Ndugu zangu naombeni tu mniombee nifanikiwe . Paula atakuwa shemeji yenu
Chikumbalaga sioWewe ni boya
nasikia anakojoa juisi yule mtotoNa wasalimu kwa jina la dollars Paula achomoki View attachment 2627351
Hii si unamplekea hela ya pedi tu? Mana naskia pedi zake anaagiza uturukiNa wasalimu kwa jina la dollars Paula achomoki View attachment 2627351
Hizo dollarii, zikiiisha au kuyeyuka Paula unamruhusu aondoke zake.Na wasalimu kwa jina la dollars Paula achomoki View attachment 2627351