Habari wana MMU.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani najua huku wapo wakongwe wa mahusiano na mambo ya familia.
Mchumba wangu ana tabia moja ya ubishi.
Unaweza muomba game akakujibu mimi sipendi huo mchezo au nikitumia mbinu ya kumshawishi kwa matendo utaona yeye anarespondi negative mfano;akija geto analala na suruali.
Nimejaribu kumdadisi anadai hapendi hayo mambo ndio maana tangu sekondari hadi chuo hajawai kuwa na mwanaume.
Kwa sasa amemaliza chuo anataka kuolewa ila game hataki hata akiolewa ananitaarifu kuwa hapendi huo mchezo.
Ushauri nifanyaje