zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,531
- 27,779
braza nimecheka sanaaaaaa hahahahahahahouse boy anaweza kukutafuna hata wewe mwenyewe kuwa makini sana

Kama mkeo ana kitupa mkojo atatafunwa tu hakuna namna [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakuu,
Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija housegirl mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute houseboy.
Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna mke wangu, hivi hakuna njia ya kuhasi houseboy kwa vidonge?
Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kama kutafuniwa mke wake
Huna mamlaka ya kuhasi mtuWakuu,