Nataka kumuacha

Nataka kumuacha

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
379
Wakuu,

Ni njia gani ya kumuacha msichana pasipo yeye kujua?

Maana nimejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nimejbu yaliowezekana.

Wakuu nipeni mbinu mnawezaje?
 
Wakuu ni njia gan ya kumuacha mschana pasipo yy kujua? Maana nmejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nmejbu yaliowezekana, wakuu npeni mbinu mnawezaje?

Mwambie awasiliane na mimi Genetic Jackhammer.

Nina uhakika atakusahau kabisa.
 
mvizie kimy kimya ushike simu yake uikague kama ukikosa ushaidi basi basi tambua watosaji huwa hawajui maumivu anayopata mtoswaji n shidaaa!
 
Boy ungejua navyo tafuta demu wa kuweza kuniganda kama hilo jimama lako wala usinge sema hii maneno kabisa.
 
Oooh wakati mnaanzana alikuwa mtoto, ila now kawa jimama ghafla!!!

Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option
 
Eti hukuwa na option!! Very lame excuse, boy how old are you?

Gal lame exuse naww ushatoa nyingi sn, nimeomba ushauri wa njia yakuepukana na ili tatizo
 
Back
Top Bottom